Home of Technology

Bratex Store

Simu Aina Zote na Vifaa vya Kielektroniki kwa Bei Nafuu

Tunauza simu mpya na zilizotumika zenye ubora wa hali ya juu, tunafanya matengenezo ya haraka ya simu na laptop, phone unlocking, pamoja na ushauri wa kitaalamu.

Bratex Store Electronics Showcase

Mizigo Nchi Nzima

Tunatuma bidhaa mikoa yote nchini kwa uaminifu

Matengenezo Siku Moja

Huduma ya haraka na ya uhakika kwa simu na laptop

Ushauri wa Kitaalamu

Kabla ya huduma yoyote, tunakupa ushauri wa bure

Special Offers & Punguzo

Ofa maalum na punguzo la bei kwa bidhaa na huduma zetu

Hot

Punguzo la 10% – 50%

Ofa maalum kwa wateja wetu wapya kwenye bidhaa na huduma zetu zote za matengenezo.

WhatsApp Us
Weekend

Weekend Offer

Bei maalum na punguzo la kipekee kwenye accessories kila Jumamosi na Jumapili pekee.

WhatsApp Us
Limited

Free Bonus Gift

Nunua bidhaa 1 upate zawadi ya screen protector, cover au huduma ya ushauri na usafi bure.

WhatsApp Us

Boost Your Device Performance

Tunatengeneza na kuboresha simu na laptop yako ili ifanye kazi kwa ufanisi zaidi. Format, system upgrades na software installation zote zinapatikana.

Wasiliana Nasi

Mobile Phone Sales

Simu mpya na used zenye ubora na warranty

Order on WhatsApp

Laptop & Accessories

Laptop za kiofisi, masomo na accessories zote

Order on WhatsApp

About Bratex Store

Bratex Store ni duka la kisasa linalotoa huduma za uuzaji, utengenezaji na ushauri wa kitaalamu katika masuala ya simu, laptop na vifaa vya kielektroniki. Tunahudumia wateja kwa kuzingatia ubora, uaminifu na huduma ya haraka.

Quality Products · Reliable Services · Customer Satisfaction

Huduma Zetu Kuu

  • Uuzaji wa Simu (Mpya & Used)
  • Uuzaji wa Laptop (Office, Business & Students)
  • Phone Repair & Unlocking
  • Computer Services & Software Installation
  • Data Recovery & Accessories
  • Ushauri wa Kitaalamu kwa Wateja
  • TUNATUMA MIZIGO MIKOA YOTE NCHINI

Why Choose Bratex Store

Huduma zetu zinaendana na mahitaji yako kila siku — ubora, haraka, na bei nafuu.

Huduma ya Haraka

Tunatatua matatizo ya simu na computer kwa muda mfupi bila kuchelewa.

Fundi Mzoefu

Timu yetu ina uzoefu mkubwa katika matengenezo ya vifaa vyote.

Bei Nafuu

Huduma na bidhaa zetu zinapatikana kwa bei rafiki na za kueleweka.

Ushauri wa Bure

Kabla ya huduma yoyote, tunakupa ushauri wa kitaalamu bila malipo.

Meet Our Expert

Mtaalamu wetu mwenye uzoefu mkubwa, tayari kukusaidia na simu na kompyuta zako.

Bratex Store - Expert

Bratex Store

Mobile & Computer Specialist

Follow on TikTok

Our Services

Mobile Phone Sales

Uuzaji wa simu mpya na zilizotumika kwa bei nafuu kabisa.

Accessories

Chargers, earphones, covers, screen protectors na vifaa vingine.

Phone Unlocking

Unlocking ya network na systems za software kwa usalama wa hali ya juu.

Phone Repair

Kutengeneza screen, battery, charging ports na matatizo yote ya software.

Computer Services

Format, software installation, hardware repair na virus removal kwa laptop na desktop.